MSANII nguli
katika soko la filamu Bongo, Lucy Francis Komba amefunguka kuwa yeye ni
zao mojawapo la hayati George Otieno Okumu ‘Tyson’.
“Mimi ni zao la Tyson, nimeanzia katika
mchezo wa maigizo wa Mambo hayo uliokuwa ukirushwa katika Kituo cha
Runinga cha ITV na ndiyo ukawa mwanzo wangu kujulikana, asingekuwa yeye
sijui ningekuwa wapi
0 comments:
Post a Comment