Hii ndiyo teaser/ jingle ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee pamoja
na artwork yake. V Money amerelease wimbo huu kwenye kipindi cha XXL cha ambapo waandishi wa nyimbo hii ni Barnaba, Vanessa Mdee, Noel Mkono. Producer ni Nahreel na unaweza kusikiliza kipande chake hapa.
Ukitaka kusikiliza wimbo wote na kusoma lyrics zake fungua hapa –> https://mkito.com/song/hawajui/1829
0 comments:
Post a Comment