KATIKA
hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala
kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na unyama wa hali ya juu
kwa kumuua mwanaye na kisha kumtupa pembezoni mwa barabara ya kwenda
Kawe-Beach.
Wavuvi
wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu hali ambayo
iliwashtua na kuamua kusogea karibu ndipo walipomkuta mtoto huyo mwenye
jinsi ya kike akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na
puani.
0 comments:
Post a Comment