Akizungumza na mwandisi wa blog hii,mwanafunzi mmoja jina tumehifadhi amesema kuwa kiukweli wameshindwa kuelewa ni kwa nini serikali yao inawafanyia hivi.
Hadi sasa hatima bado haijapatikana,tutaendelea kuwajuza kila kinachoendelea..
BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU FACEBOOK MATUKIO YA WANAVYUO
0 comments:
Post a Comment