Thursday, 12 June 2014

SIKILIZA MAJIBU YA MBUNGE SALVATORY MACHEMLI WA CHADEMA KUHUSU PICHA ZA UTUPU ZILIZOSAMBAZWA MITANDAONI ZENYE SURA YAKE

...
 
Siku chache zilizopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zilisambazwa picha mbalimbali za Wabunge wa Bunge la Tanzania zikionyesha wakiwa kwenye sehemu za faragha sehemu ambazo hutumiwa zaidi na wapenzi na zaidi ni namna  picha hizo  zilivyotoka  maana zingine zilikua ni zaidi ya nusu utupu. 
 
Salvatory Naluyaga Machemli mbunge wa Ukerewe kupitia Chadema ni miongoni mwa wabunge waliotajwa kuwepo kwenye orodha hiyo na ni baada ya kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa na binti wakiwa zaidi ya nusu utupu,Soudy brown akaongea naye.Majibu na kila kitu  kilichozungumzwa kipo hapo  chini. ANGALIA VIDEO HAPA
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger