Sunday, 1 June 2014

MUME WANGU HANIRIDHISHI KITANDANI,NIFANYEJE?

...



Nimeolewa miezi miwili iliyopita. Kabla sijaolewa huyu jamaa tulikuwa tunakutana mara chache chache sana. Na tulijuana miaka mitatu kabla ya ndoa.Na pia kwa kipindi chote tulikuwa tukis3x akipiga moja ya km dk 10 akimwaga ndio imekwisha hajawahi kurudia, ni mpaka labda kesho tena au baada ya siku kadhaa.  

Sasa mara nyingi sifiki kunako huwa ananiacha na nye'e, nikiwa peke yangu najisugua na mto hadi nafika mwenyewe na nimeshazoea hivyo wakati mwingine siku hizi hata simsumbui nataka. Kwa sababu kipindi cha nyuma nilikuwa namsumbua anasema subiri mpaka asubuhi. Mara subiri nilale kidogo full majanga, hivi nauliza huyu atakuwa ana upungufu wa nguvu za kiume au ni nini? Zaidi ni mdogo tu kijana hata 30 hajafikisha....
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger