...Akizua timbwili kwa wananchi waliokuwa eneo hilo.
TIMBWILI! Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja, amenaswa akiwa matiti ‘nido’ nje baada ya kulewa tilalila mchana kweupe na kulizwa mkoba wake kisha kuzua varangati ‘hevi’, Ijumaa Wikenda lina mkanda kamili.
Mrembo akidhibitiwa baada ya kuzua timbwili.
Varangati
hilo lililonaswa na kachero wetu aliyekuwa kwenye ‘patroo’ ya
Oparesheni Fichua Maovu (OFM), lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya
Sinza- Afrika Sana jijini Dar.
Katika
sinema hiyo ya bure, mrembo huyo alishuhudiwa akipigana na kila mtu
aliyekutana naye mbele yake huku akivua nguo kuashiria kuwa ‘pombe si
chai’.
..Akitulizwa na wananchi. Kuna wakati mwanadada huyo alikatiza barabarani bila kujali magari na nusura agongwe jambo lililosababisha mtafaruku wa foleni huku mwenyewe akidondoka kama ‘embe dodo’ lililoiva.
...Akionyesha kutokubaliana nao na kuzidi kukinukisha.
Baada
ya timbwili hilo kuchukua takriban dakika 35, ilibidi wasamaria wema
kuingilia kati na kumshika huku akiwapiga baada ya kuona huenda
angeumizwa.
TIMBWILI! Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja, amenaswa akiwa matiti ‘nido’ nje baada ya kulewa tilalila mchana kweupe na kulizwa mkoba wake kisha kuzua varangati ‘hevi’, Ijumaa Wikenda lina mkanda kamili.
Mrembo akidhibitiwa baada ya kuzua timbwili.
..Akitulizwa na wananchi. Kuna wakati mwanadada huyo alikatiza barabarani bila kujali magari na nusura agongwe jambo lililosababisha mtafaruku wa foleni huku mwenyewe akidondoka kama ‘embe dodo’ lililoiva.
...Akionyesha kutokubaliana nao na kuzidi kukinukisha.
Baadaye watu hao walifanikiwa kumtoa eneo la barabara huku wakimsitiri kwa kupandisha nguo kufunika nido kisha kumpeleka pembeni na kumtuliza.
“Kweli pombe siyo chai. Yaani msichana mzuri lakini ona alivyojidhalilisha,” alisema mmoja wa mashuhuda hao.
...Akiondoka huku nido zake zikiwa wazi.
Paparazi
wetu alitaka kujua kulikoni kuwa katika hali hiyo ambapo mrembo huyo
alijibu kwa kifupi kuwa kuna mtu alimuibia mkoba wake hivyo akawa hana
namna nyingine zaidi ya kufanya fujo kutokana na hasira.
0 comments:
Post a Comment