HATIMAE,
Fainali za Kombe la Dunia zinaanza Leo hii huko Sao Paulo, Brazil
wakati Wenyeji Brazil wataivaa Croatia katika Mechi ya Kwanza ya Kundi A
itakayochezwa Arena Corinthians, au kwa Jina jingine Arena de Sao
Paulo.
Kihistoria Mechi ya Ufunguzi huwa ngumu
kwa Wenyeji na mara nyingi hupata taabu na katika Mechi 20 za Ufunguzi
ushndi kwa Wenyeji ni Mechi 14 na Sare 6.
Je hii ya Leo itakuwaje?
Hiyo imedhihirika leo wakati kijana neymar alipodumbukiza goli zote mbili wavuni..................
0 comments:
Post a Comment