Monday, 2 June 2014

MAJANGA BONGO MOVIE MTITU AMPA MAKAVU JB

...

KATIKA hali ya kushangaza msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu amemchana live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kutoa mchango mdogo kwenye msiba wa Sheila Haule ‘Recho’.
Msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu (wa tatu kutoka kushoto) akiwa karibu na jeneza la Recho Haule.
Akizungumza msanii mmoja wa filamu ambaye hakutaka jina lake lichorwe gazetini, alisema katika kutoa michango ya msiba wa Recho ilifika zamu ya JB ambapo alichangia elfu hamsini jambo ambalo lilimkera Mtitu na kuanza kumchana live.
JB na Mtitu wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Baada ya kuzinyaka habari hizo, paparazi wetu alimuuliza Mtitu kulikoni ambapo alikuwa na haya ya kusema:

“Ukweli iliniuma sana ndiyo maana nikaamua kumchana JB mbele za wasanii yaani msanii mkubwa kama yeye na analipwa vizuri lakini anakuja kutoa shilingi elfu hamsini hii siyo sawa japo alikasirika lakini ujumbe ulifika
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger