"Amesema ni muhimu mjadala huo wa
kitaifa kwakua hali mbaya sana kiuchumi,misamaha ya kodi imekua
mikubwa,wakubwahawalipi kodi wakati wauza vitumbua
wanalipa kodi,uchumi unakua
kwenye mifuko ya watawala.Hivyo tuwe na mjadala wa kitaifa wa uchumi
tujadiliane na tupate muafaka wa uchumi wetu kwa pamoja"
Hivi huwa wabunge wanakatwa kodi kwenye mishahara yao? Wenje, tuanzie hapo kwanza.
0 comments:
Post a Comment