Admin
hide my name , mimi ni kijana wa kitanzania nina mke na mtoto mmoja kwa
muda wa miaka miliwili sasa nimekuwa nikisoma UK Deree yangu ya pili ,
kwa sasa nimemaliza nimerudi Tanzania , sasa cha ajabu ambacho sikielewi
ni kuwa kila nikikutana na mke wangu anataka nimwingilie kinyume na
maumbile..yaani sometimes anaipeleka mwenyewe huko sehemu kwa siku kama
mbili nimekuwa nafanya bila kujua imeingia huko...sasa nimejua
nimemkalisha kikao lakini haeleweka hajanipa jibu la maana paka
sasa...nahisi wakati mimi nipo uk kuna mtu alikuwa anamchezea sasa
imekuwa hawezi sikia raha mpaka afanye hivyo ..mimi ninajua madhara ya
huo mchezo siwezi kabisa kufanya kwa mke wangu ...swali linakuja hapa
sasa nisipomfanyia ina maana ataendelea na hao jamaa zake wanao mfanyia
...sasa sijui nifanyaje ..naomba ushauri wa kina hapa
0 comments:
Post a Comment