Stars wakishangilia ushindi dhidi ya Zimbabwe.
TIMU
ya Taifa, Taifa Stars imeibuka kifua mbele baada ya kuilaza timu ya
Taifa ya Zimbabwe 'Mighty Warriors' bao 1-0 katika mechi ya kuwania
nafasi ya kucheza fainali za Mataifa ya Afrika iliyopigwa Uwanja wa
Taifa jijini Dar. Bao la Stars limefungwa na John Bocco 'JB' dakika ya
16 kipindi cha kwanza!
0 comments:
Post a Comment