MKALI wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amesema sababu kubwa iliyomfanya azae nje ya ndoa ni maandalizi mazuri aliyojipangia.
Odama ambaye amejifungua hivi karibuni, alisema aliamua kuzaa kwanza kisha ndoa ifuate hivyo hajutii uamuzi wake.
“Nimezaa kwa sababu nilijipanga, kuhusu
kuolewa ni majaaliwa awe ni huyuhuyu niliyezaa naye au mwingine,”
alisema Odama huku akigoma kumtaja baba mtoto.
0 comments:
Post a Comment