TIMU ya Atletico Madrid imetwaa kombe la La Liga baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Nou Camp. Kwa ushindi huo wamefikisha pointi 90 wakati Barcelona wakiwa na pointi 87 sawa na Real Madrid ambao wamemaliza wakiwa nafasi ya tatu. Mara ya mwisho kutwaa kombe hilo ilikuwa 1996!
0 comments:
Post a Comment