kawaida
wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika
ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali
inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo”
hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.
Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue hata utamu huo ukoje (well ule wa kipele ni tofauti kabisa na ule wa kisimi) lakini sio mbaya kama utapata hata huo wa juu kwa juu ambao ni wa kisimini.
0 comments:
Post a Comment