Wanaume hatimaye kutambua kwamba hawapo peke yao kitandani na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi! Kuchukua hii kutoka kwangu nawaambieni, haya mambo matano yakitekelezwa kwa ufasaha, yatafanya mwanamke wako achanganyikiwe zaidi kila saa!
- Wanataka uwe wa mwisho kumaliza: Kawaida
wanawake huchelewa kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, wastani wa
dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla
dakika 8 hazijafika!
- Anapenda umpe maandalizi ya kutosha: Mwanamkehuhitaji mda huu kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha uke wake vizuri tayari kwa kuingizwa! Asipopata mda mzuari wa maandalizi, tendo zima hugeuka kuwa la maumivu. Maandalizi mazuri pia ni njia nzuri ya kumsogeza kazibu na kilele.
- Kuchezea kinembe! Kinembe ni sehemu ambayo misisimko mingi kama sio yote, huanzia. Ukidharau kinembe basi kwa hakika inatosha kabisa kumfanya mwanamke asiridhike!
- Maongezi ya kingono: Anapenda sana! Anapata nyege sana anaposkia kuwa unatamani sana kumridhisha! Mwabie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio semeka!
- Muulize ni kitu gani hasa anatamani umfanyie kitandani: Kila mtu ni tofauti inapokuja kwenye swala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke anapenda kutoka kwako ni kumuuliza. Udadisi wako unaweza pia kumfanya akutamani zaidi.
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kimapenzi! Unahitaji udadisi kidogo na kujifunza zaidi.
0 comments:
Post a Comment