Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwaendapo ataamua kuingia kwenye siasahao kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza kuwa chachu ya yeye kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini na kuwaokoa vijana wengi wanaopotea kutokana na matumizi ya dawa hizo
"Ray C kwa nini asiingie tu kwenye siasa na akatutetea kwenye mambo ambayo hata yeye alikutana nayo hadi yakataka kumtoa roho, tunaamini anaweza endapo ataamua kufanya hivyo" alidai kijana mmoja ndani ya mtandao wa facebook
0 comments:
Post a Comment