Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.
Mwili wa Tyson ukiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki.
Dada wa marehemu Tyson, Doreen akilia kwa simanzi baada ya mwili wa kaka yake kuwasili.
...Doreen akiwa amepoteza fahamu baada ya mwili wa kaka yake kuwasili Hospitali ya Kairuki.
Gari
lililobeba mwili wa marehemu Tyson, aina ya Toyota Land cruiser lenye
namba za usajili STK 6630 kutoka Wilaya ya Mvomero likiwasili Hospitali
ya Kairuki kutoka mkoani Morogoro.
...Gari hilo baada ya kuwasili na mwili wa Tyson.
0 comments:
Post a Comment