Waokoaji wakijitahidi kuzima moto.
Kibaka akila kisago baada ya kujaribu kuiba wakati wengine wakililia mali zao.
Kibaka akitaitiwa na askari waliokuwa wakilinda usalama eneo la tukio.
Soko la Karume jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo liliteketea
kwa moto ambapo hasara kubwa ilipatikana lakini hakuna mtu aliyeripotiwa
kupoteza maisha.Mwanahabari wetu aliwasili eneo la tukio na kushuhudia vikosi vya Uokoaji na Zimamoto kutoka Halmashauri ya jiji, Uwanja wa Ndege na sehemu nyingine wakishirikiana kuzima moto huo ambao ulikuwa tayari umeshateketeza sehemu kubwa ya soko hilo
0 comments:
Post a Comment