Thursday 3 July 2014

Huyu ndie Mwigulu Nchemba Akiweka Siasa Pembeni ni Mwelewa na Mjuzi wa Mambo

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa muda mrefu nilikuwa nikimuona Mwigulu bungeni na michango yake, nilikuwa nimeshamuweka kwenye kundi la watu wazandiki, wafitini, wahafidhina, mchochezi na vitu vingine kama hivyo. Leo nimemsikia kupitia Clouds Fm nimependa ufafanuzi wake kuhusu kukopa na kulipa deni la taifa. Ingawa hii haina maana kwamba hizi tabia zimeisha lakini amenifanya niamini kabisa kwamba kumbe siasa inatakiwa uvae joho jingine kuifanya...Kwa Waliopata Nafasi ya Kumsikiliza Leo  Clouds FM Najua Mtakuwa Mmeliona Hilo Kaongea Vizuri Sana Tofauti na Anavyoropokaga Akiwa Jukwaani ama Bungeni.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger