Sunday 27 July 2014

MAJINA YA WALIMU DIPLOMA YALIOONGEZWA KWENDA JKT KAMBI YA MAKUTUPORA NA MGAMBO JKT SEPTEMBER 2014

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG ,Kutokana na jeshi la kujenga taifa kutangaza majina ya walimu wanaotakiwa kuripoti jkt september 2014,Blog hii iliweka list hiyo ya walimu na vikosi walivyopangwa kutoka website ya JKT lakini katika kufatilia zaidi tumegundua kuwa kuna ongezeko la majina ya walimu katika kambi tajwa hapo juu.  


Kama kawaida ya uongozi wa blog hii unapenda kuwapa msaada kwa wale wote watakaotaka kuangaliziwa majina yao kama

wamechaguliwa kwenda vikosi hivyo,kuepukana na gharama za internet cafe ,tuma jina lako kwenda kwenye namba +255768260834 ,ili uangaliziwe jina lako ,USISAHAU KUTUMA tsh.100 ya sms kwa ajili kujibiwa sms yako haraka iwezekanavyo.



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger