Thursday 24 July 2014

HIVI NDIVYO VIGEZO VINAVYOTUMIKA KATIKA UDAHILI WA WANAFUNZI VYUO VIKUU 2014/2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                               
Habari yenu wadau wa Blog hii pendwa ya maswayetu blog  kutoka na maswali mengi niloyapata kutoka wadau mbalimbali imenibidi niweke hapa JINSI UDAHULI WA WANAFUNZI UTAKAVYOFANYIKA MWAKA HUU ILI KILA MMOJA AANGALIE WAPI PA KUCHAGUA.

Ukiangalia katika TCU guide book ya mwaka huu kuna haya maneno utayaona,
Note: The programme requirements in this book use the Old Grading System to applicants who
completed Form Four and Form six in 1988-2013. For Form Six applicants who completed their studies
in 2014, their grades will be translated into Old Grading System. The translation is illustrated in Table 3
and will be used for admission purposes only. 

 ANGALIA HAPA CHINI KWA CONVERSION ITAKAVYOFANYIKA;

Converting grades from New system to Old System to be used for Admission

New Grading  Old Grading System   Cutt of point
A                     A                                   5
B+                   B                                   4
B                     C                                   3
C                     D                                   2
D                     E                                   1
E                     S                                    0.5
F                     F                                    0
NB:
1. For the new grading system ‘A’ to ‘C’ is PRINCIPAL PASS while ‘D’ is PASS
2. For an applicant to qualify to join higher education institution MUST have at least two D’s
in form Six examination from core subjects. This applies to the year 2014/2015 only


Pia napenda kuwatahadharisha wadogo zangu msichague kozi kutokana na mkumbo kitu cha kwanza ukitaka kuchagua kozi angalia unapenda nini ,cha pili angalia maisha ya nyumbani kwenu kitu cha 3,angalia je kuna uwezekano wa kupata mkopo,kitu cha 4,angalia soko la ajira katika fani unayotaka kusomea.
Bado nakaribisha kama una swali,maoni,unataka ushauri nk,tuma sms kwenda namba 0768260834,utajibiwa haraka iwezekanavyo,wako innocent the-bloggerboy(mmiliki maswayetu)
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger