Sunday 27 July 2014

ELIMU YA BURE JINSI WANAVYO HESABU CUTT OF POINT ZA MASOMO YAKO KATIKA UCHAGUZI WA KOZI MBALIMBALI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari yenu wadau wa blo hii ya maswayetu blog,log pendwa ndani na  nje ya nchi,Leo ninaleta mada fupi katika uhesabuji wa cutt of point katika uchaguzi wa kozi mbalimbali za vyuo vikuu.

Kwanza kabisa kabla kuanza kutoa elimu hiyo hapa napenda kuwapa pole na pongezi vijana wa kidato cha sita waliokuwapo jeshini kwa kupewa wiki moja ya kurudi nyumbani kufanya application ya vyuo mbalimbali.Najua kule mlizoea JAMBO ila karibuni mtaani salam ni MAMBO,wazi?,Mada hii nimeleta rasmi kwa ajili yenu nyie mliokuwapo jeshi.

CUTT OF POINT za vyuo vikuu huwa wanahesabu kama ifuatavyo.

-Wakikwambia atlest TWO principle from two subjects inamaana kuwa katika combination yako uliyosoma advance wanataka uwe una E,E,kumbe basi katika selection ya kozi 89% ya vyuo wanataka uwe na prinxiple mbili katika masomo mawili uliyosoma,LAKINI kuna baadhi ya vyuo kama UDSM wanataka atleast 5 points from 3 subjects.(ukiyajumlisha yote upate point 5),Lakini kama hujaona kwenye TCU guide book wameandika  FROM THREE SUBJECTS,jua kuwa wanataka Masomo mawili yakuletee principle wanazotaka.

MFANO:SUA wanataka 3 points from two subjects it means that,KAMA ulikuwa unasoma PCB na ukapata D,D,D it means that una point 3 from all subjects na ukija nkwenye masomo mawili unapoint 2 two hivyo hauna sifa za kujiunga chuo hicho.

MFANO MWINGINE: Bugando wanataka 5 points from two subjects lakini uwe una principle katika masomo yote.

NGOJA NIISHIE HAPA KWA LEO,ILA NITAENDELEA WAKATI MWINGINE,KAMA UTATAKA USHAURI KATIKA KOZI NZURI YA KUAAPLY TAFDHALI TUMA SMS KWENDA NAMBA +255768260834 ,kwa kuaminifu wako rusha tsh.100 kwa  ajili ya sms ya kukujibu.thanks wako INNOCENT-THE BLOGGER BOY
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger