Tuesday 15 July 2014

CHADEMA :YATOA TAARIFA MAALUM YA MWENENDO WA BUNGE LA KATIBA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Dr Wilbrod  Slaa akionyesha kabrasha lenye mambombalimbali ya mikaba kuhusiana na kampuni ya IPTL na Excro Pamoja na taarifa maalum kuhusu mwenendo wa bunge maalum la katiba pia katibu mkuu ameongelea kuhusu mkutano mkuu utakaofanyika hivi karibuni    Dr Wilbrod Slaa amesema wajumbe 30 waliochaguliwa  wa bunge la katiba watakaoshiriki katika kikao cha mashauriano kitaifa kitachofanyika julai 24 na 25 mwaka huu katika ofisi ndogo za bunge jijini Dr es salaam ambao wabunge wa ukawa hawatahudhuria kikao hicho akiongea leo kwenye makao makuu ya chama hicho  kuhusu  ukawa kurudi bungeni katibu mkuu huyo amesema wabunge wametoka bungeni kwa maana maluum wanataka makubaliano kufuata rasimu  iliyosomwa bungeni kuhusu wananchi wanataka katiba ya namna gani na sio katiba ya watu fulani hususani serikali mbili msimamo upo palepale wa serikali tatu

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger