Saturday 12 July 2014

UHAMISHO WA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA MWEZI JUNI 2014 -WATUMISHI 3733 WAHAMISHWA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU 
                 
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
                                                            TANGAZO:
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina 3,733 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za mitaa nchini,Aidha orodha ya watumishi 112 ambao hawakukidhi vigezo vya kuhama nayo imetangazwa.

 Maelekezo yote muhimu yapo katika barua ambayo kila mtumishi atapatiwa kupitia kwa Wakurugenzi wa Mamlaka wanazotoka. 


 Imetolewa na: -

OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI  ZA MITAA.
  SOMA HAPA KUANGALIAORODHA  HIYO


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger