Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo Bw. Abdul-Razaq Badru akifafanua jambo katika mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam leo (Jumapili, Oktoba 30, 2016). Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi hiyo Bw. Cosmas Mwaisobwa.

Basi la Kampuni ya Safari njema lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salama. Limegongana na Lori katika eneo la Kimara Stopover.
Kuna ajali mbaya sana imetokea hapa eneo la Suca Mbele kidogo ya stop over ikihusisha lori na Basi T 990 ADF liitwalo Safari njema linalofanya safari zake kati ya Dar na Dodoma linaungua. SASA hivi yanaungua na watu waliokuwemo ndani.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()