Tuesday 30 June 2015

MUHIMU:TANGAZO JIPYA KUTOKA JKT KWA FORM SIX WALIOMALIZA MEI 2015,MWISHO WA KURIPOTI JKT

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO KWA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT.

Share:

DOWNLOAD PDF SELECTION KIDATO CHA TANO 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

TAFADHALI FANYA YAFUATAYO KUANGALIZIWA JINA LAKO; Endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako Fanya yafuatayo; 1.tafadhali tuma  Kituo/Shule Uliyofanyia Mtihani kwenda namba 0768260834 mfano BINZA SECONDARY SCHOOL-S0710,pia tuma jina lako 2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS.1000 TUA AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA KWENDA NAMBA
Share:

MAJINA YOTE HAYA HAPA SELECTION FORM FIVE 2015

Image result for ngao ya tanzaniaBONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA YOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA FORM 5 2015




Endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako Fanya yafuatayo;

Share:

Breaking news:HAYA HAPA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2015

Share:

PETR CECH ASAJILIWA ARSENAL KWA PAUNI 11

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Petr Cech akionyesha jezi ya Arsenal baada  ya uhamisho wa pauni 11 na mshahara wake unatajwa kuwa ni pauni 100,000 kwa wiki.
Share:

HUKUMU YA MRAMBA, YONA NA MGONJA YAAHIRISHWA HADI JULAI 3, 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Basir Mramba (kulia), Gray Mgonja (kushoto) na Daniel Yona wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.

Share:

DENTI KIDATO CHA KWANZA AFIA BWAWANI!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
mwanaye, baba… Na Kulwa Mwaibale MSIBA! Mohamed Juma (14) ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar amefia bwawani wakati akiogele...

SOMA ZAIDI>>>>DENTI KIDATO CHA KWANZA AFIA BWAWANI!

Share:

MWALIMU SEKONDARI AKAMATWA NA ‘UNGA’

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Official Video HD | Alikiba - Chekecha Cheketua

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 30.6.2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Monday 29 June 2015

LOWASSA AKIWA MOROGORO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

MAJINA YA AWAMU YA PILI WALIOKUBALIWA KUOMBA VYUO MWAKA 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

RAIS NKURUNZIZA APIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais Pierre Nkurunziza akiwasili kwenye kituo cha kupiga kura kwa usafiri wa baiskeli.
Share:

KIONGOZI WA MASHTAKA MISRI AFARIKI BAADA YA KUJERUHIWA KWENYE SHAMBULIO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

DOWNLOAD SNIPER FT RATIEL -NAPATA RAHA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

VIDEO MPYA YA ALIKIBA-CHEKECHA CHEKETUA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

TID: NI KWELI NAVUTA BANGI!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Funguka! Kwa mara ya kwanza, ‘mnyama’ katika anga la muziki wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘Top In Dar’ (TID) amekiri kutumia mihadarati aina ya bangi huku akijiapiza kuwa hajawahi kutumia madawa mengine ya kulevya ‘unga’ ikiwemo cocaine kama ambavyo amekuwa akinyoshewa vidole na baadhi ya watu, Ijumaa Wikienda ‘lilikabana naye koo’.
tidMbongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘Top In Dar’ (TID)
Share:

BINTI AGOMA KUFUNGA ANASWA NA WANAUME 2

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


2
Share:

DIAMOND ATAITIWA AIRPORT DIAMOND KWA SAA MBILI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili.

DIAMOND ATAITIWA AIRPORT DIAMOND KWA SAA MBILIStaa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa ametaharuki.
Share:

AUNT:NI KWELI NIMEZAA NJE YA NDOA!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


 AUNT:NI KWELI NIMEZAA NJE YA NDOA!Mkali wa sinema za Kibongo Aunt Ezekiel akiwa na wafanyakazi wa Globalpublishers walipomtembelea kumuona mtoto wake.
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 29.6.2015

Share:

Sunday 28 June 2015

RAIS JK AIFAGILIA MAGEREZA DAY

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais Dk. Jakaya Kikwete akipokea heshima ya Wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Viwanja  vya Chuo cha Maofisa Magereza kilichopo Ukonga jijini Dar.
Share:

WATU 11 WAUAWA KWENYE MAPIGANO MALI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Malian soldiers fight while clashes erupted in the city of Gao on February 21, 2013 and an apparent car bomb struck near a camp housing French troops as Malian and foreign forces struggled to secure Mali's volatile north against Islamist rebels.  AFP PHOTO / FREDERIC LAFARGUEFREDERIC LAFARGUE/AFP/Getty Images
Takribani watu 11 wameuawa Magharibi mwa Mali wakati wa mapigano kati ya wapiganaji wa Kiislamu na Jeshi.
Mkazi mmoja kwenye Mji wa Nara, ameeleza kuwa watu hao waliwasili kwa magari na pikipiki
Share:

RAIS KIKWETE AWAPOKEA WAPANDA BASIKELI WALIOSAFIRI KILOMITA 830 KUTOKA MBEYA KUJA KUMPONGEZA IKULU, DAR ES SALAAM‏

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

ba1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(2) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 kutoka
Share:

Malnutrition rampant in Lindi, three other regions

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Sixty per cent of children aged one to five years in Lindi Region suffer acute malnutrition, stunting them in height and adversely affecting their bodies’ internal organs.

The Project Manager of the Partnership for Nutrition in Tanzania (PANITA) Joseph Mugyabuso said the region’s children suffer various diseases because they lack immunity, which is due to malnutrition.

He told reporters in Bagamoyo on Friday that Dodoma, Iringa and Shinyanga are among regions with high rates of malnutrition of 60 per cent. Tanzania’s biggest challenge is poor diet due to poverty of many families that makes children under the age of five years to be stunted, Mugyabuso added.

Share:

Health expert asks citizen to go for health check-ups

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The public has been advised to regularly check their health status for early diagnosis of non communicable disease like cancer, heart and diabetes disease in order to help save lives of the majority patients.
The Acting Deputy Director of Mental Health and Substance Abuse and Non Communicable Diseases Dr Auson Rwehumbiza told the presses yesterday in Dar es Salaam that such diseases have placed patients at their feet because of late diagnosis.

Share:

Guards didn`t kill 22 miners at North Mara, govt tells House

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Government yesterday refuted claims that 22 deaths that occurred in January 2014 and April 2015  at North Mara mine were caused by soldiers guarding the mine.

The deaths were caused by a fight among illegal miners, Deputy Minister for Energy and Minerals Charles Mwijage said in response to a supplementary question by Tarime MP Nyambari Nyangwine (CCM).

Nyangwine wanted to know the number of villagers allegedly killed by soldiers guarding the mine that turned place into 'disaster area' because of the killings of 22 youth.

Share:

`Women, youth groups must seek local opportunities`

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Women, youth and other groups have been urged to explore and venture into investment opportunities available in local administrative areas as a rapid measure for their personal development and contribution to efforts geared towards poverty eradication.

George Mtambalike, the local government chairman for Mogo area in Ukonga Constituency of Ilala Municipality in Dar es Salaam region, made this appeal at a fund raising get-together campaign organized to raise funds for the construction of a Roman Catholic priest residence at the Kivule Chakenge Parish.

He said there were immense opportunities in local government administrative areas that if taken up by youth and other members of society, they would be a catalyst for rapid development and breaking the bonds of poverty.
Share:

Govt defends foreign workers

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

The government has defended foreign employees at the Presidential Delivery Bureau who also work for Big Results Now (BRN) initiative, saying their skills were of an utmost value.
Deputy Minister of Industry, Trade and Marketing Janet Mbene told the National Assembly in Dodoma yesterday that the two citizens of Ethiopia and two from the neighbouring Kenya were employed  at BRN after winning the transparent job interview and proved to be efficient for the job.

Share:

MKUTANO WA KINANA WAUTEKA JIJI LA MWANZA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


 MKUTANO WA KINANA WAUTEKA JIJI LA MWANZA
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akihutubia wakazi wa Mwanza  kwenye uwanja wa Furahisha.
Share:

WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiwasili kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Iringa na kupokelewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayoub huku Meya wa Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi akishuhudia.
Share:

MOTO WAJERUHI 500 NCHINI TAIWAN

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 
Share:

NAFASI MPYA ZA AJIRA SERIKALINI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/G/23
02ndJune, 2014
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) and Ministry of Lands,
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNE 28 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Saturday 27 June 2015

Cristiano Ronaldo will leave Real Madrid before Bale - Toshack

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Cristiano Ronaldo will leave Real Madrid before Bale - Toshack
The Welsh forward has been criticised by fans and media after an underwhelming season but his compatriot believes that he will stay at the Santiago Bernabeu for a long time
Cristiano Ronaldo will leave Real Madrid before Gareth Bale does, according to former coach John Toshack.

The Wales international enjoyed a bright debut season in the Spanish capital following his €100 million move from Tottenham but his 2014-15 campaign was less impressive and he became the subject of criticism from fans and pundits.

The 25-year-old has already been linked to a move away from the Santiago Bernabeu, with Manchester United said to be interested in him, but Toshack believes that he will remain in the Spanish capital for years to come.

"My own opinion is that we will probably see, for one reason or another, Cristiano move from Madrid before Gareth," he told BBC Sport.

"You need time to adapt and obviously, for the money they paid for Bale and at the age that he is, he's still got a lot to do."

Toshack, a former Madrid coach, who gave Bale his debut for the national team, believes that the ex-Spurs star has not yet been played in his best position in Spain.

"I hope Gareth will get the opportunity to play in an area of the field where he can do most damage," he remarked. "I'm not so sure playing out wide is Gareth's best position but I think Cristiano has got a bit do with that.

"Ronaldo was always a right winger but likes to play on the left side and I think Gareth suffers a bit for that."

Rafael Benitez has taken over as Madrid boss this season following the sacking of Carlo Ancelotti and Toshack is confident that the Spaniard will be a success.

"Rafa's got all the credentials," he enthused. "There's no question about that. Rafa was at Madrid at the time I was there, working with the junior sides.

"Everyday the newspapers say 'Rafa's going to do this and Rafa's going to do that' but we just have to wait and see.
Share:

KIU outsources medical institutions for practicals.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kampala International University (KIU)
Kampala International University (KIU) has admitted it has no hospital for medical students’ clinical rotation at its Dar es Salaam campus, a necessary requisite short of which may lead to closure of the academic institution.
 
Share:

Kafulila: Table wagons purchase report before July 9.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Kigoma South MP David Kafulila.
Kigoma South MP David Kafulila yesterday wrote a letter to National Assembly Speaker Anne Makinda seeking that she orders the government to submit an investigative report on the scandal over the controversial purchasing of 25 freight wagons worth Sh230 billion by Tanzania Railways Limited (TRL) officials.
Share:

Water thefts: DAWASA fingers brick makers.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Dar es Salaam Water and Sewerage Authority (DAWASA)
The Dar es Salaam Water and Sewerage Authority (DAWASA) has declared that among the most notorious companies associated with illegal water connection are owners of the brick factories operating in the country.
 
Share:

Govt to re-do elephant census in Ruaha-Rungwa ecosystem.

INNOCENT-THE BLOGGER BOY

Minister Lazaro Nyalandu.
As elephants get depleted at a fast speed in various national parks and game reserves in the country the government will again carry-out validation exercise on the exact number of jumbos in Ruaha-Rungwa ecosystem in the southern part of the east African nation.
Share:

Media Bill officially withdrawn.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Minister of State in the President's Office (Special Duties), Prof. Mark Mwandosya.
The government has officially confirmed withdrawal of Access to Information Bill, 2015 which was scheduled to be tabled in the House today, saying that the bill will be tabled in the next parliament.
 
Share:

Govt endorses One Stop Border Posts Act, 2015.

INNOCENT-THE BLOGGER BOY

Finance Deputy Minister, Adam Malima.
Government has endorsed the One Stop Border Posts Act, 2015 to facilitate smooth movement of people and goods within the East African Community (EAC)region.
 
Share:

KAMANDA WA POLISI MORO AKANUSHA WATU WATATU KUUAWA



Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, SACP Leonard Paul.
Share:

AMA KWELI JUMA NATURE KAPOTEZA DIRA YA SANAA YAKE>> SASA HIVI AFUNGUA GOLI LA MAMA LISHE

 
Share:

KONDA APIGA VIROBA, AZIMA!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KONDAKTA mmoja wa daladala ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, juzikati alinaswa mchana akipiga pombe aina ya kiroba kisha kuzidiwa na ulevi hadi kufikia hatua ya kutojitambua.
Konda huyo alinaswa majira ya saa 9 alasiri maeneo ya Stendi ya Buhongwa, wilayani Nyamagana, mkoani Mwanza.
Kwa mujibu wa mmoja wa mashuhuda waliokuwepo eneo hilo,
Share:

MSANII AMRITHI KAPTENI JOHN KOMBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KUELEKEA Uchaguzi Mkuu 2015 utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu, msanii ambaye ni kiongozi wa Kundi la Sanaa la Jakaya Theatre linalorusha mchezo wake kupitia Televisheni ya ITV, Daudi Mponji a.k.a Lazi amerithi mikoba ya aliyekuwa mtunzi wa nyimbo za kuhamasisha za Chama Cha Mapinduzi (CCM), marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia Februari 28, mwaka huu.
Akizungumza na gazeti hili, Mponji alisema ametunga nyimbo tano ambazo ni Pambazuko, Sema Usiogope, CCM Imeweza, Tumpambe na Mambo Hadharani, zinazokamilisha albam inayokwenda kwa jina la Pambazuko.
Share:

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

ABIKANILE anazidi kuandamwa na misukosuko ya kutisha. Alinusurika kifo siku waliyouawa wazazi wake na siku aliyouawa mpenzi wake Mathius, lakini pia katika hali ambayo hakuitegemea usiku wa siku hiyo aliyouawa Mathius aliingia mikononi mwa vijana wanne waliompeleka kwa mganga wa kienyeji ndani ya msitu wa Nyika.
Share:

Jamani Dada Martha… Looo!-16

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:
Martha ndiye aliyekuwa mchokozi pale kitandani. Alimshikashika Roi kwa kuanzia kichwani, akaja kifuani, akampa kidole chake kwenye kinywa, Roi akakipokea, akamlalia kifuani huku akianza kuhema kwa staili ya mahaba.
Mara, mlango mkubwa wa kuingilia sebuleni uligongwa…
“Mh! Martha! Si jamaa yako huyo kweli?”
JIACHIE NAYO MWENYEWE…
Share:

VIATU VIREFU VYAMUUMBUA KAJALA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
read more about Kajala story here down>>>>


 VIATU VIREFU VYAMUUMBUA KAJALAKajala Masanja ‘Kay.
  Masanja ‘Kay’ amezua miguno na mishangao miongoni mwa wapenzi na wadau wa burudani
Share:

UGONJWA WA BANZA UNAWAUMIZA VICHWA MADAKTARI, HALI MBAYA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
please pray for BANZA STONE


banzaMwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ akiugulia.

INASIKITISHA sana! Wakati hali ya afya ya mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ ikiwa ni mbaya nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam, madaktari wanapata tabu na kusumbuka kuhusu ugonjwa wa fangasi ya kichwa unaomsumbua.
Licha ya ugonjwa huo, pia kwa mujibu wa ndugu wa
Share:

Godbless Lema Aahirisha Maandamo Kukutana na Jaji Mutungi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Read the followings story consines Godbless Lema>>>>>

MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesitisha maandamano ya kuishinikiza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuongeza muda katika vituo vya uandikishaji, kufuatia mazungumzo yake na msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Share:

FAIZA: MIMI NI WA NUSU UTUPU TANGU UTOTONI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

FAIZA_ALLY561
MREMBO aliyewahi kuwa na uhusiano na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally, mwanzoni mwa wiki hii aliamriwa na Mahakama ya Manzese/Sinza, amkabidhi mtoto kwa
Share:

JK, BABU SEYA KUONANA USO KWA USO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

JK, BABU SEYA KUONANA USO KWA USONguza Vicking Babu Seya, (kulia) na Mtoto wake Papii Nguza.

Haruni Sanchawa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza ya Ukonga jijini Dar, ana ratiba ya kuzungumza na maafande na maafisa wa jeshi la magereza na wafungwa katika Siku ya Magereza Tanzania 2015 ambayo huadhimishwa kila mwaka.

1-9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kikwete.

Kwa mujibu wa chanzo cha ndani ya jeshi hilo, pia Rais Kikwete atatumia nafasi hiyo kuliaga jeshi hilo kwa vile Oktoba, mwaka huu, nchi itamchagua rais atakayepokea kijiti chake cha urais kwa awamu ya tano.

Msingi wa habari hii ni wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha jela kwa makosa ya ulawiti na ubakaji, wanamuziki Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwani katika hafla kama hiyo, mwaka jana, walimtumia salamu JK wakimwomba awasamehe kwani walishatambua makosa yao.

babu+seya+px

Risasi Jumamosi: “Je, rais hawezi kuitumia nafasi hiyo kuwaachia huru wanamuziki, Nguza Vicking na mwanaye, ‘Papii Kocha’ ambao wanatumikia kifungo cha maisha jela?”

Chanzo: “Mh! Sina hakika sana. Maana kama hilo lipo ina maana ni jukumu la rais mwenyewe na mipango yake kwa mujibu wa katiba, rais ana mamlaka ya kumsamehe mfungwa kwa kosa lolote lile.”

KUHUSU WARAKA

Risasi Jumamosi: “Juni mwaka jana wakati wa maadhimisho kama hayo, mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe, Babu Seya na Papii walimuomba Rais Kikwete awasamehe kwa makosa waliyofanya ambapo waziri, katika kuwajibu alisema mtu akishatumikia kifungo kwa miaka saba au 10 gerezani ana hakika kama ana moyo na nafasi ya kuacha, atakuwa amebadilika hivyo anaweza kupewa msamaha. Je, rais hawezi kutumia mwanya huo?”

Chanzo: “Sijui. Unajua haya mambo ya msamaha ni ya kiitifaki zaidi. Hawezi kila mtu kujua zaidi ya yeye anayekusudia kusamehe.”

JK, BABU SEYA KUONANA

Kwa mujibu wa chanzo kingine, JK anaweza kuonana na Babu Seya moja kwa moja kwani huenda wafungwa hao watatumbuiza kwenye hafla hiyo kama ilivyokuwa mwaka jana ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Chikawe.

VIONGOZI WA MAGEREZA WANENA

Baada ya kunyetishiwa hayo na chanzo chetu hicho, Risasi Jumamosi lilimtafuta Afisa Habari wa Jeshi la Magereza Makao Makuu Tanzania, ASP Lucas Mbonje na kumuuliza kuhusu JK kufika kwenye Gereza la Ukonga leo na kuaga jeshi hilo na kuonana na wafungwa, akiwemo Babu Seya na mwanaye, Papii Kocha ambapo alisema:

“Mimi nipo safarini, hiyo ziara ya rais naijua, ni kwenye Siku ya Magereza, lakini mpigie mrakibu wa magereza, anaitwa SP Edwin Kisiluka.”

MRAKIBU SASA

Risasi Jumamosi lilimtafuta mrakibu huyo na kuzungumza naye kuhusu uwepo wa Rais Kikwete kwenye sherehe ya Siku ya Magereza ambapo alisema:

“Ni kweli, kwa ratiba yetu, Rais Kikwete ndiye mgeni rasmi. Tutakuwa naye. Mbali na hilo, Magereza Day kuna maafisa wa cheo cha inspekta watapandishwa vyeo na kuwa ma-ASP.”

“Vipi, unajua lolote kuhusu rais kuitumia nafasi hiyo kuwaachia huru Babu Seya na mwanaye?”

Mrakibu: “Hilo silijui mimi. Ila ratiba ya shughuli yetu ni hiyo niliyokupa.”

WAKATI HUOHUO

Hali ya kiafya ya Papii Kocha inadaiwa kwenda halijojo gerezani humo akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kifua.

Kwa mujibu wa chanzo, Papii alianza kuumwa mwanzoni mwa mwaka huu hivyo kudhoofika sana na mpaka sasa anaendelea na matibabu.

“Jamani mimi nilikuwa kule kwa miaka kadhaa. Yaani nilifungwa. Papii Kocha anaumwa kifua. Amedhoofika sana. Lakini bado anaendelea na matibabu,” kilisema chanzo hicho hivi karibuni.

Babu Seya na Papii walihukumiwa kifungo cha maisha mwaka 2004 hivyo mwaka huu wametimiza miaka 11 jela.
Share:

WEMA KUBADILI WANAUME CHANZO NI HIKI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 WEMA KUBADILI WANAUME CHANZO NI HIKIWema Sepetu na Nangari.

Mwandishi wetu
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger