Saturday 27 June 2015

Maamuzi mengine ya Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya Chenge na ESCROW.. (Audio)

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

IMG_1119
Ishu ya ESCROW ni kama kuna watu wengi walianza kuisahau hivi, imerudi leo kwenye masikio ya watu ambapo tunakumbuka kuna list ya Mawaziri na Wenyeviti wa Kamati za Bu
nge walisimamishwa baada ya kutajwa kuhusika na mgao wa Bil. 300 zilizokuwa kwenye account ya ESCROW.
Mbunge Andrew Chenge alikuwa mmoja ya waliotajwa kuhusika pia, ishu ikapelekwa Kamati ya Maadili na baadae Mbunge huyo akapeleka ombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ili kuzuia kuhojiwa na Kamati hiyo.
IMG_1121
leo June 26 2015 ripoti kutoka Mahakamani inasema Mahakama hiyo imetupilia mbali Ombi hilo kwa kuwa imeona haikuwa na Mamlaka ya kuzuia Shauri hilo, na walichokiona ni kwamba Chenge alikuwa na njia mbadala kushughulika na ishu hiyo badala ya kukimbilia Mahakamani.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger