Tuesday 23 June 2015

ZIARA YA KINANA WILAYA YA MISUNGWI

...







ZIARA YA KINANA MISUNGWI
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akihutubia wakazi wa kata ya Misungwi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Amani ikiwa muendelezo wa ziara za kukagua,kuhimiza na kusukuma utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

 Umati wa wakazi wa Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia kwenye uwanja wa Amani.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Misungwi ambapo aliwaambia hakuna namna CCM itaibuka na ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu tarehe 25, Oktoba mwaka huu.




 
 Wasanii wa kikundi cha upendo wakipiga ngoma ya Kisukuma kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye kata yao ya Misasi wilayani Misungwi.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger