Friday 26 June 2015

Ajali: Basi la LEO LUXURY lapata ajali Mkoani Lindi, Wawili wafariki Dunia

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ajali: Basi la LEO LUXURY lapata ajali Mkoani Lindi, Wawili wafariki DuniaBasi linalofanya safari zake kati ya mkoa wa Dar mpaka wilaya za Masasi na Nachingwea limepata ajali mbaya na kusababisha vifo vya watu wawili.


Ajali hiyo ilitokea eneo la kata ya Mtua Kijiji cha Kilimahewa A, mkoani Lindi.

Mashuhuda wa ajali hiyo wanasema ilitokea wakati dereva akitaka kumkwepa muendesha baiskeli huku akiwa kwenye mwendokasi mkubwa.



Mwanasiasa Machachari Mwami Zitto akiwapa pole waathirika wa ajali.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger