Sunday 28 June 2015

WATU 11 WAUAWA KWENYE MAPIGANO MALI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Malian soldiers fight while clashes erupted in the city of Gao on February 21, 2013 and an apparent car bomb struck near a camp housing French troops as Malian and foreign forces struggled to secure Mali's volatile north against Islamist rebels.  AFP PHOTO / FREDERIC LAFARGUEFREDERIC LAFARGUE/AFP/Getty Images
Takribani watu 11 wameuawa Magharibi mwa Mali wakati wa mapigano kati ya wapiganaji wa Kiislamu na Jeshi.
Mkazi mmoja kwenye Mji wa Nara, ameeleza kuwa watu hao waliwasili kwa magari na pikipiki
mapema asubuhi ambapo walipandisha bendera yenye maandishi ya kiarabu.
MALI 2
Walioshuhudia walisema kuwa wanajeshi walijibu ambapo kulitokea ufyatulianaji wa risasi karibu na msikiti na kituo kimoja cha afya.
Shambulizi hilo linafanyika baada ya waasi wa Kiarabu na wale wa Tuareg kutia sahihi makubaliano ya amani na serikali ya Mali.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger