Saturday, 31 May 2014

HATIMAE SUA WASAINI BOOM-INJINIA WAONGOZA JAHAZI WENGINE WAFATA


HATIMAE WANAFUNZI WA SUA WAFURAHI BAADA YA KILIO CHA MDA MREFU KUHUSU KUSAINI BOOM LAO(FEDHA YA CHAKULA NA HOSTEL)
HILO NIMELISHUHUDIA LEO ASUBUHI MAENEO YA MULTIPURPOSE SUA AMBAPO NILIKUTA WATU WAKIWA KWENYE FOLENI YA KUSAINI.
PONGEZI ZA DHATI ZIMWENDEE AFISA MIKOPO WA CHUO HICHO KWA KUPIGA KUFAKUPONA HADI ALIPOPATA MAJINA HAYA.

ANGALIA PICHA CHINI KWA MATUKIO ZAIDI ILIVYOKUWA LEO ASUBUHI.
Share:

Breaking News:Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Baada ya CCM Kuilinda Wizara ya Nishati na Madini


Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa
Share:

Hivi Toka Sugu Amekua Mbunge ni Kitu Gani Alishawahi Kuwafanyia Wasanii wa Taifa Hili?Msanii wa Leka Dutigite, Linex Sunday Mjeda amefunguka na kudai kuwa hajaona mchango wa mbunge Joseph Mbilinyi aka Sugu kwa wasanii wa muziki.....
Share:

KUMRADHI PICHA ZINATISHA SANA: DEREVA BODABODA AUAWA KIKATILI NA MAJAMBAZI KWA KUCHINJWA SHINGO...FUNGUA HAPA.
Picha jinsi alivyochinjwaJeshi la Polisi Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuuwa dereva Bodaboda mmoja aitwaye Frenk Joseph (25)mkazi wa mtaa wa Nsemlwa Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi kwa kumchinja shigo na kisha kumpora pikipiki yake aina ya SANLG yenye namba za usajiri T 704 CDQ.
CHEKI VIDEO YA TUKIO HAPO CHINI
Share:

TUMEFANIKIWA KUZIPATA PICHA ENZI ZA UHAI WAKE ZA MWANAFUNZI ALIYEFARIKI KATIKA HOSTEL ZA CHUO KIKUU MLIMANI (UDSM)ENZI ZA UHAI WAKE....

Share:

PICHA ZA UTUPU ZA LADY JAY DEE, KATIKA JARIDA LA VIBE..JIONEE UTAMU WA JAY DEE
Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Flevaambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbaliJudith Wambura aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye jarida la VIBE.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.
Share:

MAKUBWA..!! KIJANA ANAEDAIWA KUWA NI MSUKULE,AONEKANA NJE YA NYUMBA YA KIKONGWE ALIYEUAWA KWA USHIRIKINA,NI SIKU MOJA BAADA YA MAZISHI YA KIKONGWE HUYOKijana Ndaki Samola akiwa amepandishwa ndani ya gari la
polisi kwa ajili ya kupelekwa kwa wataalamu ili kufanyiwa
uchunguzi kama ana matatizo ya akili.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mamia ya wananchi wa kijiji cha Ilebelebe kata ya Itilima wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wamefurika kushuhudia tukio la kijana mmoja anayesadikiwa kuwa ni msukule aliyeibuka siku moja baada ya kikongwe kuuawa kwa kucharangwa mapanga kwa imani za kishrikina kijijini hapo. 

Kijana huyo aliyedai kuwa anaitwa Ndaki Samola alionekana jirani na nyumba ya mwanamke Nyanzala Basu (65-70) aliyeuawa Mei 26 mwaka huu,saa moja na nusu usiku baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana kisha kumcharanga mapanga akiwa nyumbani kwake kisha kutokomea kusikojulikana. 
Share:

Pigo jingine kwa bongo movie,Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari MorogoroTaarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.
Share:

PICHA CHAFU, JAMAA AWEKA PICHA ZA MPENZI WAKE MTANDAONI KISA AMEPIGWA KIBUTI


 
Wimbi la picha za uchi lazidi kushika kasi katika mitandao ya kijami,cheki jamaa ameweka picha za mpenzi wake kisa ameachwa na mpenzi wake
PICHA HAPO CHINI
Share:

Friday, 30 May 2014

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA


1_cde74.jpg
2_6de27.jpg
3_d796c.jpg
Share:

WAPINZANI BUNGENI WAMKAANGA ZITTO


Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni jana ilimlipua mbunge kutoka kambi yao, Zitto Kabwe ikimhusisha na ufisadi wa Sh119 milioni kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).
Hii ni mara ya kwanza kwa kambi ya upinzani kumhusiaha mbunge 'mwenzao' na tuhuma za ufisadi tofauti na kawaida yao ya 'kuwashughulikia' ubadhirifu katika Serikali.
Share:

Muswada wa VAT waongeza muda wa BungeSpika wa Bunge, Anne Makinda amesema muda wa Bunge utaongezwa ili kutoa nafasi kwa serikali kuwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kodi ya Mapato (VAT).
Share:

MAMBO 6 AMBAYO WANAUME HAWAPENDI KUFANYIWA NA MADEMU ZAO
Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano, ndoa na vijana Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea hapa japo kuna vitu pia wanawake hawavipendi kutoka kwa wenzi wao wanaume. Nayo ni haya hapa, ungana nami kujadili jambo hili ambalo kwangu nimeona ni changamoto au niseme sikujua. 

1. Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi waoMwanamke unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una mpa ushauri. Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye korido maana kuna giza kweli. Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini? Weka balbu bwana. Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha kufanya. 

2. Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele, mlalamishiYeye ni kulalamika kuanzia Jumatatu hadi Jumapili. Japo wanawake nao wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa. Na wenye gubu wanasusa kula mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!
Share:

HUYU NDIYE KIJANA ANAYEKURA URODA WA IRENE UWOYA
Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huuana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene Uwoya
Share:

WAKUBWA TU: WAREMBO WASAGANA HADHARANI..TIZAMA PICHA HAPA


 Hakika hii ni hali ya kusikitisha na si jambo la kulichukulia mzaa.Wadada hao walionekana club wakilana denda mbele ya  kadamnasi bila woga. 
Share:

Jibu la Irene Uwoya baada ya kuulizwa uhusiano wake na Msami wa THT.


msamiiiii

Kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya.
bilaa
Sasa May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa na Soudy Brown kama ni kweli ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na swali la kwanza lilitaka kujua uhusiano wao umekuepo toka lini?
Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’
Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote?
Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’
Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana?
Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’.
Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa mpenzi wa zamani wa Msami amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi yao jibu kutoka kwa Irene likawa >>> ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda’

Share:

Zitto Kabwe Awajibu Chadema Walio Mtuhumu Kwa Ufisadi Kupitia LekaDutigiteNasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka. 

Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na wasanii. Gombe Advisors ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashara.
Share:

MKE WA MTU SUMU!!..AKODI NGOMA KUMFUMANIA MKE! MTAA WAFUNGWA KWA CHEREKO CHEREKO,POLISI WATINGA


AMA kweli dunia ina mambo na mambo yenyewe ndiyo haya! Katika hali ya kushangaza, mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ramadhan Ally, mkazi wa Kata ya Mbuyuni Manispaa ya Morogoro amewashangaza wengi kufuatia uamuzi wake wa kukodi ngoma ya asili kwa lengo la kwenda kumfumania mkewe aliyejulikana kwa jina moja la Asha.
Mwanadada aliyetambulika kwa jina la Asha baada ya kufumaniwa akisindikizwa na ngoma.
Tukio hilo lililofunga mtaa lilijiri asubuhi ya saa 3:14  Jumatatu iliyopita eneo maarufu kwa jina la Sultani baada ya mwanaume huyo kutonywa kuwa, mke wake alikuwa amelala kwa rafiki yake kipenzi, Abdallah Elias.
Baadhi ya wananchi waliobahatika kuwasili katika eneo la tukio walishuhudia mwenye mali akiwashushia kichapo kikali ‘wasaliti’ hao ambapo vurugu zikapamba moto.
Share:

NI ZAIDI YA LAANA! MZUNGU DAR AMLAZIMISHA HAUSIGELI AFANYE MAPENZI NA MBWA WAKEKHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata  jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake.
Mapolisi wakiwa wametinga nyumbani kwa mzungu na silaha. Kushoto ni hausigeli.
Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa kufanya tukio hilo la kinyama Mei 26, mwaka huu na inadaiwa Aneth alipomkatalia, alimtimua nyumbani hapo kwa kumtupia virago.
Share:

LULU ATEMBEA ‘MATITI’ NJE!


MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema:
Msanii wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’.
Share:

KIMENUKA BONGO MOVIE!!..STEVE NYERERE, BABA HAJI WATAKA KUZICHAPA MSIBANI

MAJANGA! Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na muigizaji Adam Haji ‘Baba Haji’ nusura wazichape baada ya kupishana kauli.

Mwenyekiti  wa Bongo Muvi, 'Steve Nyerere' (aliyeshika chupa ya maji) akilia kwa uchungu katika msiba wa Recho.
‘Uwanja wa vita’ ulikuwa ni kwenye msiba wa mwigizaji mwenzao Sheila Haule ‘Recho’, Sinza-Palestina, jijini Dar ambapo chanzo kilishuhudia mtiti huo, kilidai tatizo liliibuka mara baada ya Steve Nyerere kumchimba mkwara Baba Haji asijiweke karibu na Jacob Steven ‘JB’.
Share:

RACHEL AMUUMIZA WASTARA


KIFO cha msanii wa filamu, Rachel Haule kimewaumiza wengi lakini baadhi yao ni wasanii wenzake, Halima Yahaya ‘Davina’ aliyeachiwa hausigeli wa marehemu katika mazingira ya ajabu huku Wastara Juma akiumizwa na viatu na pochi alivyopewa na Rachel kabla hajafariki dunia.
Msaniii wa Bongo Movie Halima Yahaya ‘Davina’ akiwa na simanzi kubwa.
Akizungumza na Ijumaa juzi, Davina alisema alihangaika sana kumtafutia Rachel hausigeli ili atakapojifungua asipate shida lakini siku moja kabla ya kifo, alipompigia simu akitaka ampelekee mtu wake simu haikupokelewa hadi alipopata taarifa za kifo.
Share:

Thursday, 29 May 2014

NJAA NJAA NJAA"HAYA NI MANENO YA WANAFUNZI SUA-MARA TU NILIPOONANA NA MAPEMA LEO HII"

                                            


NJAA NJAA NJAA"HAYA NI MANENO YA WANAFUNZI SUA-MARA NILIPOONANA NAO" HUKU WENGINE WAKISEMA TUMECHOKA NA PASI NDEFU,WENGINE PIA WAKISEMA MAISHA MAGUMU.
HUKU WENGINE WAKISEMA "NITAWEZAJE KULA KWA FOLENI PECAM?",NA MWINGINE AKISEMA NITATUMIA MOZILA FIRE FOX HADI LINI???
                                               

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE KILICHOPO MJINI MOROGORO WANAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KUTOKANA NA KUTOKUWA NA PESA YA CHAKULA.

WAKIZUNGUMZA KWA NYAKATI TOFAUTI BAADHI YA WANAFUNZI WA CAMPUS YA MAZIMBU NA MAIN WAMESEMA KUWA HADI SASA HAWAJUI HATIMA YAO NI NINI KUTOKANA NA KUTOKUWA NA HATA SENTI TANO YA KULA HUKU WAKIENDELEA KUMUOMBA MUNGU KILA SIKU WAAMKE VIZURI.
Share:

KUDAI TANGANYIKA KULIANZIA BUNGENI 1993 - 5

Tulieleza jinsi wabunge 55 walivyotaka kuirudisha Serikali ya Tanganyika na jinsi baadhi yao ‘walivyonyamazishwa’ kwa kupewa uwaziri na Mwalimu Julius Nyerere alivyozima hoja.
Share:

MAASKOFU, FREEMASON...

BAADHI ya viongozi wa dini nchini wamesema kwamba Watanzania wengi wamekuwa na imani na mambo ya kishirikina wakiamini kuwa wanaweza kubadili maisha kwa njia ya kuwa wanachama wa Imani ya Freemason badala ya kutumia akili huku wakiweka imani kwa Mungu.
Share:

AUNTY LULU, BWANA’KE WAMWAGANA

LILE penzi la msanii wa filamu na mtangazaji, Lulu Mathias na mchezaji mpira wa zamani, Amani limesambaratika baada ya hivi karibuni mwanaume huyo kuondoka na kilicho chake huku akimwacha mwanadada huyo ndani ya nyumba peke yake.
Share:

MCHUMBA WA MTU AZIMIKA BARABARANI, POMBE YATAJWA


Msichana mmoja aliyetajwa kwa jina la Halima aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu, hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kukutwa amezimika barabarani.
Share:

HOFU YATANDA WASAMARIA WEMA WAINGIA MITINI DHAMANA YA WAZAZI WA MTOTO WA BOKSI

HATIMAYE wale watuhumiwa wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka 4 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kujibu mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra huku watu waliotakiwa kuwawekea dhamana watuhumiwa hao wakiingia mitini.
Share:

THEY HAVE GONE TOO SOON! WAMEKWENDA MAPEMA MNO!RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!
RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS…
Share:

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukivuka katika mto Magara mapema leo asubuhi kuelekea wilayani Babati mkoani Manyara.Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa kwenye ziara ya siku saba ya kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi na kuzitafututia ufumbuzi.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

                                         1_69adb.jpg
2_ec565.jpg
3_a9bf2.jpg
Share:

TAZAMA MTO RUVU


Bagamoyo.
Share:

BAADHI YA MUVI ALIZOCHEZA MAREHEMU RECHEL HAULE


Marehemu Racheal Haule enzi za uhai wake.
Share:

AIBU MUME WA FLORA MBASHA AMEMBAKA SHEMEJI YAKE MWENYE UMRI WA MIAKA 17
Dar es Salaam.Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili,
Share:

TAZAMA PICHA ZA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AKIONYESHA VITU VYAKE NI BALAAA KWELI..... Ni aibu kwa msomi kuweka picha za nusu uchi mtandaoni cheki huyu mmoja wa wanachuo wa chuo kimojawapo hapa dodoma ameweka picha hizi mtandaoni
BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA PICHA
Share:

Mchumba wa Vicky Kamata kumbe ni Tapeli Alishawatapeli Wadada Wengine WawiliHaya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu:
Share:

MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI


JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.
Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha anayetuhumiwa kwa ubakaji.
Share:

BOTI YAZAMA NA KUUA WATU ZIWA VICTORIA CHEKI PICHA HAPA
Watu watano wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria.

Share:

Kwanini Mabinti wa Kitanga Wanagombaniwa?Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata
Share:

PIGO KWA MANCHESTER UNITED MMILIKI WA TIMU AFARIKI


Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.
MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.
Share:

Muonekano Mpya wa Mwigizaji Lulu Michael Baada ya Kuachana na Mawigi


Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya
Share:

Wednesday, 28 May 2014

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/G/23 27 Mei, 2014 KUITWA KAZINI


Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda
kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili
kuanzia tarehe 09 Aprili, 2014 hadi tarehe 09 Mei, 2014 kuwa
walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa
kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili.
Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi
walivyopangiwa kwa muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za
kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates)
vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na
mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
Share:

BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"

                
 Image by FlamingText.com

                      
HABARI ZILIZOTUFIKIA MDA SI MREFU NI KWAMBA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE WAMEGOMA KUINGIA MADARASANI KUTOKANA NA MWENZAO MMOJA KUZIMIA DARASANI WAKATI MWALIMU AKIWA ANAFUNDISHA DARASANI.
                                       
MWANAFUNZI HUYO MWAKA WA PILI KOZI YA AGRICULTURE GENERAL MWAKA WA PILI AMEANGUKA GHAFLA DARASANI KUTOKANA NA KUTOKULA KWA MDA WA SIKU MOJA HUKU AKIWA ANASHINDIA MAJI YA KUDOWNLOD YAJULIKANAYO KAMA MOZILA FIREFOX.

HADI SASA HAIJAJULIKANA NI LINI WATAINGIA MADARASANI,HUKU WAKISHINIKIZA  CHUO  KUWALIPA HELA YAO YA CHAKULA.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TANGAZO LA TOUR MBUGA YA SAADAN

TANGAZO LA TOUR MBUGA YA SAADAN

FUNGUA PAZIA

NDOA ZA UTOTONI

Narudi nyumbani

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger