Thursday 22 May 2014

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI KILIMO NA MIFUGO (Awamu ya Pili 17 Mei, 2014)

...

                                      

 

KUITWA KAZINI 17 Mei, 2014
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 04 hadi 30 Machi, 2014 ambao baadhi ya wasailiwa waliofaulu usaili husika mchakato wa kuwapangiwa vituo vya kazi ulikuwa unakamilishwa. Orodha ya majina yao ni kama yanavyoonekana katika Tangazo hili. 
Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa katika muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. 
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao. Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.

Kufungua majina na sehemu uliyopangwa BOFYA HAPA(pdf)
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger