Saturday 27 June 2015

VIATU VIREFU VYAMUUMBUA KAJALA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
read more about Kajala story here down>>>>


 VIATU VIREFU VYAMUUMBUA KAJALAKajala Masanja ‘Kay.
  Masanja ‘Kay’ amezua miguno na mishangao miongoni mwa wapenzi na wadau wa burudani
baada ya kutembea ukumbini bila kuvaa chochote miguuni kufuatia kushindwa kutembea na viatu virefu alivyokuwa amevaa.
‘Ka-ishu’ hako kalinaswa na‘kijumbe’ wetu hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar,kulikokuwa na sherehe ya harusi ya msanii mwenzake,Haji Adam ‘Baba Haji’.Awali, mwigizaji huyo alionekana mpole na mwenye kutembea kwa ‘machale’ lakini ulipo ka muda wa kuwatuza maharusi, uvumilivu ulimshinda na kuamua kupekua.
“Mmh! Jamani huyu naye vipi? Au ndiyo kuumbuliwa na viatu? Sasa kutembea pekupeku ukumbi mzima ndiyo nini?,” walisikika akina mama waliokuwa jirani kabisa na mwandishi.Alipoulizwa Kajala kama viatu vimemshinda na kumsababisha avivue, alijibu: “Aah, niache bwana, sitaki kuzungumza chochote kwa sasa,nimechoka mno.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger