Saturday 26 July 2014

UBORA WA VYUO VIKUU MBALIMBALI NA KOZI NZURI ZITOLEWAZO NA VYUO HIVYO

...

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Habari yenu wadau wapenzi wa blog hii pendwa ya .MASWAYETU EXCLUSIVE inayokuletea kila siku wewe roho inapenda.
KABLA YA YOTE  NAPENDA KUWAFAHAMISHA FORM SIX WOTE MNAOFANYA UCHAGUZI WA VYUO VIKUU KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI KWANI ,KWA MFANO:MEDICINE YA SUA INATAKA POINT 3 LAKINI HUWA WANACHUKUA MAKSI ZA JUU SANA ,KWANI SIO LAZIMA KILA KZOI UNAYOOMBA UKACHAGULIWA,THATS WHY NILIWASHAURI KWAMBA KAMA UNA MASHAKA NA MAKSI ZAKO CHAGUA EDUCATION.
 
Leo siku njema ya jumamosi napenda kuwaletea mada juu ya vyuo vikuu vilivyopo tanzania na kozi  wazitoazo;

ZIFUATAZO NI KOZI NA CHUO CHAKE KINACHOSIFIKA KATIKA UTOAJI WA KOZI HIYO;


MEDICINE
-Katika kzoi ya medicine kuna vyuo mbalimbali vitoavyo kozi hii hapa tanzania,vyuo viongozavyo katika kutoa madaktari bora tanzania ni pamoja na MUHIMBILI,BUGANDO,&KCMC hivyo ba si kama  unataka kusomea kozi ya udakatari ni bora kabisa ukachagua vyuo nilivyovitaja hapo juu,PIA kama point zako haziruhusu ni bora ukachagua vyuo kama UDOM ,IMTU &KAMPALA UNIVERSITY ambavyo pia vinatoa kozi ya udaktari.

CUTT OF POINT YA MUHIMBILI NI 7,BUGANDO 5,KCMC 5 from three subjects you sat for advanced level.
CUTT OF POINT YA UDOM Ni 5,IMTU 3,KAMPALA 3.

ENGINEERING
Katika kozi ya Engineering nakuomba kama unataka kusoma injinia tafadhali jipeleke mwenyewe UDSM &SUA kwani wanatoa competent STUDENTS KATIKA FANI YA ENGINEERING.

CUTT OF POINT YA SUA NI 3,HUKU UDSM NI 2 from three subjects.

AGRICULTURE

-Hii ni kozi ambayo imekuwa ikitolewa mda mrefu na chuo kikuu cha sua,lakini miaka michache iliyopita chuo cha st.joseph kimejikita katika utoaji wa kozi za kilimo.,Nakushauri kama unapenda kilimo tafadhali karibu SUA.


CUTT OF POINT za sua ni 3 from 3 subjects.

EDUCATION
       
-Katika kozi ya Education kuna vyuo vingi,na ninakushauri omba SAUT,UDOM,UDSM,SUA.,ila kwa UDSMS competition ni kubwa sana hivyo basi angalia na matokeo yako kabla ya kuomba kwani kwa uzoefu udsm huwa hawachukui DIV III,so kuwa makini katika uchaguzi.
COPY:MJENGWA BLOG,TCU,WIZARA YA ELIMU,TAMISEMI,JAMII FORUM,FACEBOOK,
NITAENDELEA,Wako mablogger boy-innocent call me thru +255768260834
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger