Nyota mpya wa Arsenal, Alexis Sanchez akiwa ndani ya 'uzi' mpya.
Alexis Sanchez atakuwa Arsenal kwa miaka minne.
Sanchez atalipwa pauni 140,000 kwa wiki sawa na Ozil.Kwa kujiunga na mabingwa hao wa Kombe la FA, Sanchez amemwandalia mazingira mazuri mshambuliaji wa Liverpool na Uruguay, Luis Suarez kutua Barcelona kuziba pengo lake kwa uhamisho wa pauni milioni 75.
0 comments:
Post a Comment