Friday 25 July 2014

KIJANA AMBAAE KINARA WA KUBAKA,KULAWITI NA KUTOBOA MACHO WATOTO SHINYANGA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA GEREZANI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kushoto ni kijana aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kubaka,kulawiti na kutoboa macho watoto

Kulia ni Jacob Mayani kinara wa ubakaji,ulawiti na kutoboa macho watoto Shinyanga

Mtuhumiwa aliyekuwa akikabiliwa na kesi za ubakaji na kulawiti watoto katika Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kesi tatu tofauti.

Mtuhumiwa huyo Jacob Mayani au maarufu kwa jina la Boy mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa manspaa ya Shinyanga amehukumiwa vifungo vitatu vya maisha kwenye MAHAKAMA ya  Hakimu mkazi Mfawidhi Shinyanga.


Jacob Mayani ambaye alituhumiwa kuhusika na  matukio tofauti ya ubakaji na kulawiti watoto chini ya miaka 10 sanjari na kuwatoboa macho amejikuta akiishia gerezani.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger