Thursday 31 July 2014

HADI MWANAFUNZI ALIESOMA" PCB" 2014 -MWENYE DIVISION 4 ANA SIFA ZA KWENDA CHUO KIKUU NA KUZOMMEA MEDICINE,HII INAKUINGIA AKILINI?

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,kwanza kabisa napenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wadau wa blog hii na watembeleaji bora wa matandao huu unaowapa raha kila siku kwa kuleta vitu vipya vipya.

Leo napenda kuzungummmzia utaratibu wa TCU katika udahili w awanafunzi mwaka huu,Tcu wamesema kuwa kama ulikuwa kwa mafano na CCD mwaka huu basi nisa wa kabisa na DDE kwa miaka iliyopita na nikihesabu hizo point tayari una point 5 amabazo zinakuruhusu kusoma kozi yoyote chuo kikuu,JE MWENYE DIV 4  anaweza chaguliwa chuo kikuu?


Hili ni swali ambalo kila mmoja wetu anajiluza,kiukweli hakuna chuo kitakachoweza kuchagua div 4,ndoa maana nataka kuwaeleza TCU kwa hili mmechemsha laba mjaribu transilation nyingine ya Hizo maksi,sio kuwadanganya wanafunzi kuwa wansifa ili wanunue vocha zenu na hamuwezi kuwachagua.

Mwisho kabis anapenda kukushauri kwa mara nyingine tena jaribu kukaa chini ufikirie je point ulizonazo unaweza ukasoma kozi unayoitaka mwaka huu,Kwanu ukiangalia hapo juu tumeona kuwa hadi mwenye div  4 Anaweza kusoma MEDICINE chuo chochote kile na akapokelewa,FIKIRIA CHUKUA MAAMUZI SAHIHI.

Ushauri huu umeandikwa na wako katika kujenga taifa hili INNOCENT THE BLOGGER BOY,ninaepatikana kwa namba 0768260834-uliza chochote utajibiwa thanks.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger