Monday 14 July 2014

GERMANY YABEBA KOMBE LA DUNIA,YAIFUNGA ARGENTINA 1-0,LIONE MESSI AWA MCHEZAJI BORA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                   GERMANY 1-0 ARGENTINA
kwa mara ya kwanza timu ya taifa ujerumani imetwaa kombe la dunia ikiwa katika ardhi ya  america ya kusini;Ujerumani imetwaa taji hilo ikiwa ni mara ya kwanza tangu 1990.

Pongezi za pekee ziende kwa mshambuliaji Mario Goetze ambae alitokea bench na kufunga goli na kuiwezesha ujerumani  kuongoza kwa ushindi wa goili 1-0 katika dakika ya 113.


Germany sasa imechukua kombe hilo kwa mara ya nne,baada ya kuifunga argentina katika uwanja wa Maracana in Rio de Janeiro,Brazil.

Kwa mara ya kwanza timu hizi zilikutana mara mbili katika mwaka 1990 and 1986 fainali.

Pongezi za dhati ziende kwa wachezaji wa ujerumani kwa kucheza kwa ushirikiano kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mashindano.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger