INNOCENT-THE BLOGGER-BOY WATU
zaidi ya wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na
kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili
ya uchongaji wa matofali. Tayari
mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian,
mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro
umepatikana.
Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia kifusi.
0 comments:
Post a Comment