Sunday 13 July 2014

TAFAHDALI KAMA UNAJUA UMEFUNGA USIINGIE HAPA,NI KWA WAKUBWA TU

...

 


MAMBO MAKUU 4 UNAPOKUWA CHUMBANI
NA MPENZI WAKO
Mambo ya Chumbani hayoooo!!
Fahamu mambo 4 muhimu unayopaswa
kuyazingatia uwapo chumbani na mpenzi
wako mnapotaka kufanya mapenzi
1. WEKEZA MAWAZO YAKO KWA MPENZI
WAKO

- Pindi uwapo chumbani na mpenzi wako
jaribu kuwekeza mawazo yako kwa mpenzi
wako ulie nae kwa muda ule, epuka
kufikiria mambo ya nje yaliyotendeka
usiyape nafasi mawazo yako kufikiria vitu
vingine. Unapokuwa chumbani na mpenzi
wako jitahidi kuacha mawazo tofauti
yasiyohusiana na tukio mnalotaka
kulitenda wewe na mpenzi wako hata kama
siku hiyo kuna mtu alikuudhi na unahasira
au pengine kunajambo lolote limekutokea
kwa siku hiyo basi jaribu kuvisahau na
mawazo yako yawe katika mazingira
mliyopo wewe na mpenzi wako kwani
mapenzi ni hisia sasa endapo kama
utakuwa upo ndani na mpenzi wako halafu
ukaanza kuwa unafikiria vitu vingine
itapelekea kushindwa kulifurahia penzi
vizuri kwani mawazo yako yatakuwa hayako
pale. Hivyo nivizuri kuwa makini na
kuziwekeza fikra zako zote katika sehemu
husika uliyopo.
2. EPUKA KUPIGA STORY ZISIZO HUSIANA
NA MAPENZI
- Mpenzi msomaji fahamu kuwa pindi
unapokuwa chumbani na mpenzi wako
hupaswi kuanzisha mada zilizo nje ya
mazingira husika elewa kwamba uko
chumbani na mpenzi wako kwa lengo la
kutaka kufurahia mapenzi hivyo maongezi
yako yanatakiwa yalenge mada husika,
usianze kupiga story za ajabu ajabu jitahidi
kuongelea suala zima la mapenzi kwa
kumpa maneno matamu mpenzi wako ya
kimahaba unaweza kuanzisha mada ila
ihusiane na mapenzi na isiwe ni mada
ndefu mpaka ukamboa mpenzi wako. Kuwa
makini  zungumza nae kwa muda mchache
na viwe ni vitu vya msingi na vyenye
maana usianze kuzungumzia habar za watu
au habar za nyumban kwenu zungumzia
vitu vinavyokuhusu wewe na yeye kwa
wakati ule na usiwe muongeaji sana.
Jitahidi kuongelea mapenzi yenu huku
mkiwa katika mikao ya kimapenzi kama
kulaliana n.k. Epuka kuonekana dhaifu
pindi uwapo chumbani na mpenzi wako.
3. EPUKA KUMWAMBIA NAOMBA TUFANYE
MAPENZI
- kitu cha 3 cha kuzingatia unapokuwa
chumbani na mpenzi wako kwa lengo la
kutaka kufanya nae mapenzi ni kuepuka
kumwambia "NAOMBA TUFANYE MAPENZI"
Tambua kuwa mnapokuwa chumbani na
mpenzi wako lengo lenu linakuwa ni
kufanya mapenzi kwani kabla ya kukutana
katika eneo lile mnakuwa mmeishapanga
mkutane kwa lengo la kufurahia mapenzi
sasa mpenzi wako atakuona ni mtu wa
ajabu pindi utakapomwambia kuwa
unahitaji kufanya nae mapenzi wakati kaja
kwako akiwa anajua anakuja kufanya tendo
husika la mapenzi hivyo utakapomwambia
suala kama hilo kiukweli atashindwa kujua
akujibu vipi na mara nyingi suala kama hili
ukimwambia mwanamke si rahisi kukubali
lazima atakukatilia kwa kukwambia hayuko
tayari kwa siku hiyo kufanya mapenzi na
wengi wao hutoa sababu mbali mbali. Hivyo
unachotakiwa kukifanya ni kuanza na
matendo moja kwa moja anza kumshika
shika mvue nguo zote mchezee kisha anzeni
tendo ila sio umwambie nataka tufanye
mapenzi.
4. USIMUACHE MPENZI WAKO AJIVUE NGUO
YEYE MWENYEWE
- Jambo 

 lingine kuu na la mwisho
lakuzingatia ni kuepuka kumuacha mpenzi
wako avue nguo zake yeye mwenyewe,
faham kuwa pindi uwapo chumbani na
mpenzi wako si vyema kusubiri mpenzi
wako ndio avue nguo zake yeye mwenyewe
unachotakiwa kufanya ni wewe kuanza
kumvua nguo moja moja na sio kumvua
kwa kukurupuka yani mmeingia2 chumbani
halafu unaanza kumvua hapana! Hakikisha
unaanza pole pole pengine unamchezea
chezea sehemu za kawaida unaanza kumtoa
nguo ya juu huku na huku mara umefata
nguo ya chini unaendelea kumchezea
chezea huku unamvua nguo nyingine
mpaka unamtoa zote. Usimwambie yeye
ndio azivue kwani si rahis kwa walio wengi
kukubali tu kuanza kuvua ila ni wajibu
wako wewe mwanaume au mwanamke
kuanza kumvua mpenzi wako.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger