Friday 11 July 2014

MAJINA YA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA MISITU OLMOTONYI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                        Parks & Reserves
Mkuu wa Chuo cha Misitu Olmotonyi, Arusha anayo furaha kuwataarifu wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Chuo cha Misitu Olmotonyi, Arusha kwa udhamini wa binafsi, Wakala wa Huduma za Misitu na Mradi wa ECOPRC kwa mafunzo ya
Astashahada na Stashahda za Misitu kwa mwaka wa masomo 2014/2015. TAFADHALI ZINGATIA: kwa wote waliochaguliwa kwa ufadhili binafsi ili kuthibitisha udahili na nafasi yako unatakiwa kulipa shilingi 200,000/- ikiwa ni sehemu ya ada ifikapo tarehe 11 Julai 2014. Kushindwa kufanya hivyo kutapelekea kupoteza nafasi hiyo. Jina la mwekaji wa fedha katika fomu ya kuweka fedha benki liwe ni jina la mwombaji aliyechaguliwa na nakala ya fomu ya kuweka fedha benki itumwe kwa Mkuu wa Chuo, Chuo cha Misitu Olmotonyi, S. L. P. 943, ARUSHA, NUKUSHI: +255 27 250 9795 AU BARUA PEPE: fjshayo@yahoo.com Akaunti ya Benki ya Chuo ni JINA LA AKAUNTI: Principal Forestry Training Institute, NAMBA YA AKAUNTI: 40801200102, BENKI: NMB, TAWI: Clock Tower Arusha.
For English Version (Click Here!) - List_of_selected_students.pdf
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger