Thursday 31 July 2014

ORODHA MPYA YENYE MAJINA TAKRIBANI 324 KIDATO CHA TANO 2014/205 YALIOONGEZWA BAADA YA NAFASI KUPATIKANA ,ANGALIA HAPA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             

Wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa yafanya uchaguzi wa wanafunzi kidato cha tano awamu ya pili 2014/2015,hii inawahusu vijana 16,000 waliokosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano awamu ya kwanza ilipotangazwa.

kama ilivyo desturi yetu ya blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE LOGSPOT Tunapenda kutoa msaada kwa wanafunzi au watu watakaohitaji kuangaliziwa majina yao kama wamechaguliwa awamu ya pili 2014/2015


Tafadhali tuma jina lako kwenda namba +255768260834 ili uangaliziwe jina lako,tafadhali huduma hii itabidi utume tshs.100 ya sms kwa ajili ya kujibiwa sms yako kama gharama ya sms.

Tadhali Angalia majina hapo chini;

Wavulana

Wasichana
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger