Friday 1 August 2014

SABABU KUBWA ZA WANAFUNZI WENGI KUKOSA MIKOPO NA NAFASI ZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU BAADA YA KUFANYA APPLICATION

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 Habari zenu kwanza kabisa wakubwa mliozaliwa kuanzia 1993 mwezi wa kumi na moja kurudi nyuma Shikamooni na wadogo zangu mliozaliwa kuanzia 1994 hamjambo?

Leo napenda kuzunguzia sababu kubwa zinazowafanya wanafunzi wengi wanaooma mikopo kukosa  na wale wanoomba vyuo kukosa;

Kwanza kabisa katika experience yangu niliyonayo sababu zifuatazo zinaweza kukufanya  ukose mkopo wa chuo kikuu;

1.KUFORGE SAHIHI
2.KUFORGE MIHULI
3.KUKOSEKANA KWA DOCUMENT MUHIMU KAMA birth  certificate,form 4 results,parents identification.
4.KUWA MWONGO WAKATI WA KUJAZA DETAILS mfano unaulizwa una wazazi/UNAJIBU HAPANA KUME UNAO.
5.KUCHELEWA KUFANYA AAPLICATION


Zifuatazo pia ni sababu zitakazokufanya kukosa vyuo vikuu kwa machaguo ya kwanza uliyofanya,na hii itakufanya ufanye tena selection;

1.KUJAZA KOZI AMBAZO HAUNA SIFA ZA KUSOMA.
2.COMPETITION YA KOZI HUSIKA,mfano unakuta kozi fulani umekidhi vigezo lakini kutokana na ushindani huwezi chaguliwa.
2.KUCHELEWA KUFANYA APPLICATION
4.KUTOKUFATA SHERIA ZA UCHAGUZI,unaambiwa chagua vyuo vitano mbalimbali mwingine anaamua kujaza chuo kimoja pote.

Leoa napenda kuishia hapa,ila kama utapenda kupewa ufafanuzi wa sababu tajwa hapo juu usisite kuwasiliana nami kupitia namba 0768260834.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger