Sunday 3 August 2014

UFAFANUZI KUHUSU ORODHA MPYA MAJINA WANAFUNZI KIDATO CHA V 2014,TULIYOITOA HUMU MNAMO TAR.31 JULY

...
 INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mnamo tarehe 31 tuliweka majin ya vijana waliochaguliwa kwa mara nyingine kujaza nafasi zilizoachwa wazi.


Kwanza nipende kusema mimi sifanyi kazi Wizarani ,kani mimi ni mmiliki wa blog ya MASWAYETU ambae nimeweka hayo majina kutoka TAMISEMI.

Pili nipende kusema kuwa tangu nilipoyaweka hayo majina kuna watu wamepiga simu wanasema ni ya uongo kwani hawayaoni TAMISEMI,napenda kusemamajina hayo nimeyatoa tamisemi,na hadi sasa nimeshaangalizia watu kam 70 wapi wamepangwa kawani walikuwa hawajpata taarifa.
Tatu,tangazo hilo la orodha mpya kutoka TAMISEMI linasomeka hivi. 
 ORODHA MPYA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2014





pia napenda kuwaambia kuwa bado tunaendelea kuangalizia wale wote ambao mtataka kuangaliziwa...Kwa kutuma jina lako kwenda namba 0768260834 pia usisahau kutuma tsh.100 kwa ajili ya kujibiwa sms yako,bila hiyo 100 hatujibu. 

ANGALIA HAPA KWA WASICHANA ORODHA MPYA


ORODHA YA WANAFUNZI WASICHANA WALIOCHAGULIWA BAADA YA NAFASI KUONGEZEKA
S/N
NA. YA MTIH
JINA LA MWANAFUNZI
SHULE ATOKAYO
SHULE AENDA Y
MASOMO
1
S0235/0003
Agatha Nicholaus Madoshi
Bukumbi
Bugene
CBG
2
S0195/0002
Agness Andrew Misoji
St  Caroli
Bugene
HGK
3
S4638/0002
Aisha M Hatibu
Angel House
Bugene
CBG
4
S1857/0002
Amina Ramadhani Saidi
Enyorrata E-ngai
Bugene
CBG
5
S4567/0004
Aneth  Anderson
Sacred Heart
Bugene
CBG
6
S1200/0009
Angel G Mtiana
Educare
Bugene
HGK
7
S4466/0003
Asha A Omari
D'alzon Girls
Bugene
HKL
8
S4154/0002
Ashura S Melani
Kac
Bugene
HKL
9
S0715/0008
Asia Rajabu Mohamedi
Ilongero
Bugene
CBG
Wasichana
Wavulana

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger