Thursday 21 August 2014

WATU WAFUATAO TAKRIBANI 1339 WANAHITAJIKA SKRETARIETI YA AJIRA-UTUMISHI DAR-MJULISHE NA MWENZAKO

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                      
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa leo tunweletea majina ya watu walioitwa sekretarieti ya ajira dar-kwa ajili ya usaili.
Hii inawahusu wale wote walioomba nafasi za kazi maeneo mbalimbali nchini tanzania.

Kama ilivyokawaida yetu tunapenda kutoa huduma ya kuwaangalizia wale wote watakaotaka kuangaliziwa majina yao kama wamebahatika kuitwa kwenye usaili huo;
Unachotakiwa kufanya ni ;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834(elezea shida yako kuepusha usumbufu sababu tunapoke sms zaidi ya 1000 kwa siku )
2.huduma hii utatozwa tsh.200 ambayo utaituma either kwa mpesa au salio.
3.USIPOTUMA PESA SMS YAKO HAITAJIBIWA THANKS.

Kuangalia majina hayo na kusoma tangazo hilo tafadhali bonyeza HAPA



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger