Thursday 7 August 2014

USHAURI KWA FORM SIX WOTE MNAOFANYA APPLICATION ZA TCU 2014/2015,UKIZINGATIA HILI HAKUNA KOZI UTAKAYOSOMEA ISIYO NA AJIRA.

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kwanza kabisa napenda kuwapa asante kwa kuendelea kusoma blog yetu hii pendwa ya maswayetu ambayo imesheheni mambo mbalimbali yanaoelimisha na kujenga.

Leo napenda kuzungumzi suala moja tu lakini ni kubwana muhimu sana kulijua  ni kuhusu kozi ya kusoma chuo kikuu,Napenda kuwaambia kuwa soma kitu ambacho unakipenda kutoka moyoni tangu utotoni  sio kwamba kisa ualimu unaajira ya haraka unataka kukimbilia huko utakuwa umefanya wrong decision.

Mfano:umesoma hadi kidato cha sita na lengo lako lilikuwa ni kusomea udaktari then ukapata points ambazo hazikuruhu kusoma udaktari ,sio kwamba ndo uchague kozi nyingine NO jaribu kuanzia hata diploma ili ufanikishe malengo yako ambayo ulijiwekea,Unajua ni bora mtu ukalipwa tsh.200000 kwa mwezi lakini unafanya kazi furaha na kutoka moyoni kuliko unalipwa mil.1 halafu unafanya kazi kwa sababu ya pesa na influence.


Mfano mwingine kama wewe  unapenda kuchora picha toka moyoni ni bora ukaomba kozi inayohusiana na kitu unachokipenda kuliko kuomba kozi ya ualimu kwa sababu tu ndo yenye ajira utakuwa wrong tena sana.

Labda tu nipende kuwaambia hakuna kozi ambayo haina ajira zote utapata ajira kikubwa tu je unaipenda kzoi unayosomea.jaribuni kuweka passion na kitu nachokuwa unataka kusomea hii itasaidia kuongeza ufanisi katika kazi.

napenda kumalizia kwa kuwaambia hivi ndugu zangu nawaomba sana  mfanye uamuzi uliosahihi KWANI HAKUNA KOZI ISIYO NA AJIRA KIKUBWA NI KE UNAIPENDA?

ni mimi katika kutekeleza majukumu ya kikazi ya kukuhabarisha wako INNOCENT THE BLOGGER BOY ninaepatikana kwa namba 0768260834.


KHASANTE KWA KUTEMBELEA MASWAYETU BLOG
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger