Sunday 31 August 2014

BREAKING NEEEWZ:MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI(SECOND SELECTION) TAKRIBANI 8101 KIDATO CHA TANO 2014/2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                            

Habari yenu wadau wa blog hii pendwa wa MASWAYETU LEO TUNAWELETEA MAJINA YA WANAFUNZI TAKRIBANI 8101 YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014/2015.
Kama ilivyo utaratibu wetu kuangalizia majina ya wale wote mtakaohitaji,tutaoa huduma hiyo.
Ili uwezue kuambiwa umechaguliwa shule gani tafadhali fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO NA NAMBA YAKO YA SHULE ULIYOMALIZIA KWA SMS KWENDA NAMBA 0768260834.
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU KIASI CHA TSHS.500
   AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA,KAMA UNATUMIA AIRTEL,TIGO AU ZANTEL TAFADHALI TUMA VOCHA YA JERO.

3.UTAJIBIWA NDANI YA DAKIKA MOJA.
NB:USIPIGE SIMU,TUMA KWANZA PESA NDO UJIBIWE,PESA YA HUDUMA ITUMWE KWENDA NAMBA 0768260834.
SOMA TAARIFA HIYO YA UCHAGUZI HAPO CHINI. 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA 


UCHAGUZI WA WANAFUNZI  KIDATO CHA TANO 2014 AWAMU YA PILI
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2014 awamu ya pili.
Wanafunzi 8,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano awamu ya pili 2014, kati ya hao 4,987 wamepangwa tahasusi za sayansi ya jamii na biashara na wanafunzi 3,114 wamepangwa tahasusi za sayansi.
Wanafunzi        hawa         wanatakiwa     kuripoti    kwenye    shule walizopangiwa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2014 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 15 Septemba, 2014.

Imetolewa na Katibu Mkuu
OFISI YA WAZIRI MKUU – TAMISEMI 29 AGOSTI, 2014 

ANGALIA MAJINA HAYO HAPO CHINI PIA Tangazo 
                               Wasichana 
                               Wavulana
 

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger