Monday 18 August 2014

KAMA HUJACHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA MIFUGO 2014/2015-CHETI NA DIPLOMA,KUNA NAFASI CHACHE

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari zenu kama kawaida yetu blog hii pendwa ya maswayetu blog,tunakuletea ujumbe uliopo kwenye uchaguzi wa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kozi za mifugo 2014/2015.

Ujumbe unasomeka hivi


MAELEKEZO MUHIMU
·         Wanafunzi wote waliochaguliwa wanatakiwa kufika kwenye Kampasi husika tarehe 14/ 09 / 2014 kabla ya saa 12 jioni
·         Masomo yataanza rasmi tarehe 15 / 09 / 2014 kwa wanachuo wote wa mwaka kwanza na wa pili. 

·         Mwisho wa kuripoti vyuoni ni tarehe 29 / 09 / 2014
·         Kupata majina ya waliochaguliwa na maelezo ya kujiunga na chuo (joining instructions) wasiliana na Kaimu Mkurugenzi wa Kampasi husika au tembelea tovuti ya Wizara www.mifugouvuvi.go.tz)
·         Wale ambao majina yao hayako kwenye orodha hii wajue kuwa hawakuchaguliwa. Aidha kuna nafasi chache za kutwa kwa wale ambao wanaweza kujitegemea, Kwahiyo wanaweza kuwasiliana moja kwa moja na Wakuu wa vyuo husika.
·         ADA: Fedha za Mafunzo (Tuition Fee) kwa kila Semesta zilipwe kupitia Akaunti ya Wakala : LITA Revenue Account, NMB Wami, Morogoro, Acc. No. 22110003142 na fedha za chakula kupitia Akaunti namba za Vyuo vyao watakakoenda kama inavyoonyeshwa kwenye jedwali hapo chini.
 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger