Saturday 2 August 2014

SHULE ILIYOONGOZA KITAIFA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014 YAONGEZEWA WANAFUNZI 207,BAADA YA HAPO AWALI KUWA NA WANAFUNZI 57.

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG shule ya kidato cha sekondari igowole iliyopo mjini iringa imeongezewa wanafunzi takribani 207 baada ya hapowali kuwa na wanafunzi wapatao 30 kidato cha tano na 27 kidato cha sita.

Akiongea na blog hii mkuu wa shule hiyo alisema kuwa hii imetokana na shulye hii kuongoza kitaifa kati ya shule 237 zilizopo Tanzania.
Shule hiyo yenye michepuo  ya HKL,HGL, na HGK sasa imeongezewa mchepuo wa EGM ambapo mkuu huyo alisema kuwa kuna uhaba walimu wa masomo ya sayansi hivyo serikali inatakiwa kuongeza walimu shuleni hapo.
Tulifanikiwa kumtafuta Afisa elimu wa mkoa wa iringa na kusema kuwa wameamua kuongeza wanfunzi hao ili kuongeza idadi ya wanafunzi watakaolelewa katika mazingira mazuri ili kwa baadaec waje kuwa viongozi borabora kabisa.
Shule hiyo yenye changamoto mbalimbali zikiwemo kukosekana kwa nyumba za walimu  40 ambapo hadi mda huu kuna nyumba 3 tu.
Wako katika kazi Innocent-the blogger-MASWAYETU BLOG OWNER.
 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger